WIZI wa Karne Paraguay – Zaidi ya Bilioni 90 (40$ M) Zaporwa Kibabe na Majambazi 50 Mchana Kweupe..!!!

0
Katika Tuko la wizi ambalo limetokea 25 April 2017, huko nchini Paraguay katika mpaka wake na Brazil , kwa kikundi cha majambazi wapatao 50 kkuamua kuvamia gari la kutunzia la kusafirishia fedha na kufanikiwa kupona zaid ya Bilioni 90 mchana kkweupeee na kisha kusepa Paso na mamlaka kujua kama yametorekea Brazil au yamezamia huko huko Paraguay.
Kulingana na namna hao majambazi walivyokuwa wako “full mass in order” walifanikiwa kulipua chemba “vaults” za kutunzia fedha kwa milipuko mikubwa na kufanikiwa kutimka na Kiasi hicho cha fedha huku kati yao majambazi 3 yakiuwawa eneo la tukio na mengine 4 kudakwa ila majambazi yaliyosalia yalifanikiwa kusepa na Kiasi hicho cha fedha na kutokomea kusiko julikana.
Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.