Wimbo Huu Umeshika Namba #1 Kwenye Chat Za Billboard Wa Ed Sheeran “Shape Of You” Itazame Hapa

0

Muingereza Ed Sheeran ambaye mwaka huu ameweka rekodi mpya ya kuwa msanii wa kwanza duniani kuweka nyimbo mbili kwa wakati mmoja kwenye topten ya chati za billboard ametoa video mpya ya wimbo wake ulioweka rekodi hio.

Wimbo huu ulishika namba moja kwenye chati za billboard kwenye wiki yake ya kwanza ilipotola “Shape of You.” itazame hapa.

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.