Watch Video & Download : Beka Flavour – Sikinai

Msanii Beka Flavour kutoka kundi la Yamoto Band baada ya kufanya vizuri na single yake ya ‘Libebe’, ameachia video mpya ya wimbo uitwao ‘Sikinai’. Video imeongozwa na kampuni ya Kwetu Studio.

Tazama Video Hapa Chini

 

Download Hapa

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.