Watch & Download New Video: Nay wa Mitego ft Rich Mavoko – Acheze

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Nay wa Mitego baada ya kufanya vizuri na wimbo Moto, ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Acheze’ akiwa amemshirikisha Rich Mavoko kutoka WCB. Audio imeandaliwa na Osam na Abbah na video imeongozwa na Deo Abel.

Tazama Video Hapa Chini

 

Download Hapa Chini

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.