Waliobadili jinsia walilia haki zao…..soma zaidi

0

Nchini Pakistan watu waliojibadilisha jinsia wametishia kwenda mahakama kuu kudai haki zao za msingi kwani wananyanyaswa.Madai yao nikutambulika kisheria waajiriwe,huduma za afya na elimu wapewe.Wamekua wakijiuza na kucheza kwenye harusi ili kupata fedha ykujikimu.Sababu za msingi zakujibadilisha ni kutokukubali jinsia walizozaliwa nazo.

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.