VYAKULA VIZURI VYA KUTAFUNA KWA WATU WA MAZOEZI WANAPOKUWA NA NJAA

Ni pale unapoanza kujiuliza nitakula nini wakati huu , nina njaa  na sio wakati wa kula.

Unapoona baadhi ya vitafuno  unatakiwa kuchagua kwa hekima.

Kutafuna Chips sio kitu kizuri unapokuwa na njaa, unahitaji snacks ambazo zitaondoa hali hio ya njaa ulionayo na kukuweka na shibe siku nzima.

Amino acids zinahitajika kwa ajili ya kuendeleza  kutengeneza misuli , kwa hio ni muhimu kupata  vyakula vyenye madini ya kutosha hasa baada ya kumaliza mazoezi.

Vyakula vya protein vinasaidia  kupunguza uzito na vinakufanya ujisikie kutosheka kwa muda mrefu.

Watu wanaofanya mazoezi wanaelewa, kuwa ni kutawala diet yako na akili yako  tu , mazoezi sio magumu kama unavyofikiria.

Na ukumbuke diet si tu breakfast, lunch na  chakula cha usiku. Unahitaji kuwa na vitu ambavyo vitakusaidia wakati ukiwa unasikia njaa.

Kabla ya mazoezi unatakiwa kula kitu ambacho kitakupa nguvu ya kuendelea na zoezi hilo. Kuna wengine wanaweza kusikia kizunguzungu wakati wa zoezi. Sio vizuri kufanya mazoezi tumbo likiwa halina kitu.

Unahitaji nguvu ya kufanya mazoezi, na hio utaipata kwenye vyakula vifuatavyo.

1.Matunda aina ya blueberry

blueberry_marketing_1 VYAKULA VIZURI VYA KUTAFUNA KWA WATU WA MAZOEZI WANAPOKUWA NA NJAA

Yana protein ya juu, ni nzuri kwa kuanza nayo asubuhi.

2.Matango au supu ya mboga mboga peke yake

-суп-зі-шпинатом-310x200 VYAKULA VIZURI VYA KUTAFUNA KWA WATU WA MAZOEZI WANAPOKUWA NA NJAA

02562g_01_corinto-1024x680 VYAKULA VIZURI VYA KUTAFUNA KWA WATU WA MAZOEZI WANAPOKUWA NA NJAA

Inakupa vitamini

3.Dengu za kukaanga

800_Spicy-Oven-Roasted-Chickpeas-simpleveganblogcom-vegan-680w VYAKULA VIZURI VYA KUTAFUNA KWA WATU WA MAZOEZI WANAPOKUWA NA NJAA

Snacks hizi ni rahisi kutengeneza na ni nzuri kwa ajili yako.

5.Parachichi, juisi ya lemon, karanga.

sliced-avocado-1024x750 VYAKULA VIZURI VYA KUTAFUNA KWA WATU WA MAZOEZI WANAPOKUWA NA NJAA

Summer-Kale-Salad-with-Strawberries-Avocado-Pine-Nuts-and-Goat-Cheese-Step-4-1024x683 VYAKULA VIZURI VYA KUTAFUNA KWA WATU WA MAZOEZI WANAPOKUWA NA NJAA

images-5 VYAKULA VIZURI VYA KUTAFUNA KWA WATU WA MAZOEZI WANAPOKUWA NA NJAA

Utapata vitamini na protein ya kutosha.

6.Zabibu

ZABIBU-1024x682 VYAKULA VIZURI VYA KUTAFUNA KWA WATU WA MAZOEZI WANAPOKUWA NA NJAA

7 Almonds

almonds-snack-400x400 VYAKULA VIZURI VYA KUTAFUNA KWA WATU WA MAZOEZI WANAPOKUWA NA NJAA

Hivi ndivyo vyakula ambavyo unatakiwa kula ukiwa una njaa kabla ya chakula kamili .

BONYEZA HAPA DOWNLOAD APPLICATION YA JICHOLAUSWAZI PLAYSTORE KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI BURE KABISA ILI USIPITWE NA CHOCHOTE

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.