Video : Tazama Jinsi Shabiki Aliyemvamia Rooney Katikati Ya Mchezo

Katika mchezo wa Everton Vs Gor Mahia uliomalizika kwa The Blues kuibuka na ushindi wa 2-1, imeibua matukio mengi huku kubwa kuliko yote ni lile la shabiki mmoja kuingia uwanjani na kumkumbatia mshambuliji mpya machachari wa Everton, Wayne Rooney.

Rooney hakuonyesha dalili yoyote ya kumkwepa kijana huyo aliyevalia jezi ya Manchester United klabu ya zamani ya mshambuliaji huyo.

Jeshi la posili lilimshikilia kijana huyo kabla ya kuachiwa muda mfupi baadaye baada

 

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.