Ushauri Wa P Diddy Kwa Jay Z Baada Ya Kupata Watoto Mapacha

Mdau mkubwa wa muziki wa hiphop duniani Sean “Diddy” Combs amefunguka juu ya ushauri aliompa rafiki yake Jay Z baada ya staa huyu kupata watoto mapacha na mke wake Beyonce.

Diddy anasema mara nyingi Jay Z ndio anatoa ushauri ila nilifurahi kumpa ushauri mimi, nilimwambia “Kuwa tayari kwa mapenzi makali kutoka kwa watoto wawili, umezoea kuwa na mapenzi kutoka kwa mtoto mmoja, sasa wawili na ni mapacha, hii ni baraka kubwa sana kutoka kwa Mungu“ alisema Diddy.

P Diddy ana watoto wa kike mapacha wenye umri wa miaka 10, Jessie na D’Lila kutoka kwa Ex wake Kim Porter.

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.