Ujio mpya wa gnako.

0

Baada ya kimya kwa kitambo kidogo rappa mkuu wa kundi la WEUSI nikki wa pili amethibitisha ujio mpya wa gnako warawara ambae ni memba wa kundi la weusi. Nikki wa pili alisema “January mpaka sasa nimesharekodi zaidi ya nyimbo 10 @gnakowarawara amerekodi zaidi ya nyimbo 20…labda ndio sababu nakaribia kufikisha miaka 10 kwenye game…… hainabahati/wala kubebwa……fanya kazi…..New muzik toka kwa @gnakowarawara Wiki Ijayo…….weusi News”.

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.