Tyga Amekuja Na Style Mpya Ya Nywele Zake

0

Rapper ambaye yupo chini ya lebo tatu kubwa za muziki duniani Young Money, G.O.O.D Music na LastKing, Tyga amekuja na ubunifu mpya wa nywele ambao ameupa jina la TigerStripesHaircut.

Kupitia mitandao ya kijamii Tyga alipost baadhi ya picha akitangaza rasmi mtindo huo mpya wa nywele zake.

Cheki picha zake:

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.