Tunda Awapa Makavu Mamodo Wanaopiga Picha Za Nusu Utupu…!!

MUUZA nyago machachari Bongo, Tunda Sebastian amewapa makavu mamodo wanaoibuka kwa staili ya kupiga picha za utupu akisema fasheni hiyo hivi sasa imefeli, hivyo ni bora wakitafuta namna nyingine ya kutoka.

Tunda alisema wasichana wanaokuja na kudhani kuwa kupiga picha za utupu na kuzisambaza mitandaoni kutawafanya wawe maarufu, wamechemsha kwa sababu wanachokifanya ni ujinga uliopitiliza.

“Ninachokiona hapo ni upumbavu tu na tamaa ya umaarufu bila kutafakari madhara yake, kifupi watafute plan B maana A imefeli na kuwadhalilisha,”alisema.

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.