STELLA MICHAEL: VALENTINES FASHION WEEK NI PLATFORM NZURI KWENYE FASHION

0

Valentine fashion week ni mashindano ya modeling yanayoendeshwa online,mashindano haya yana lengo ya kudadicate love na kuipa thamani siku ya wapendanao ambayo kilele chake ni feb 14 kila mwaka.

 

Mashindano haya ya valentine fashion week yanaendeshwa kwa bashasha na mvuto wa aina yake ambapo washiriki watalazimika kupiga picha zanye rangi nyekundu huku wakigusia mazingira mekundu kuleta mvuto wa kimapenzi na kuonyesha maana halisi ya wapendanao

 

Jicho la uswazi limepiga story na mmoja kati ya washiriki wa shindano hilo la valentine fashion week, mrembo Stella michael juu ya namna ambavyo wanaweza kupata washiriki, Stella anasema ” msichana yoyote unayeona unavigezo na kipaji ama passion ya modeling unaruhusiwa kushiriki kwa utaratibu wa kutuma picha ukiwa umevalia vazi jekundu la valentine”. Aidha Stella amesema mwisho wa kutuma picha ni tarehe 08/02/2017 ambapo washiriki watachaguliwa online kwa atakaepata kura nyingi ataibuka kidedea, Stella amemalizia kwa kusema mashindano haya ni platform nzuri kwa wenye ndoto ya modeling

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.