SIMU YA ADOLF HITLER ILIYOANGAMIZA MAELFU VITA KUU YA PILI YA DUNIA YAUZWA KWA $243,000 MNADANI

0

Katka mnada uliofanywa katika jiji la Chesapeake, Maryland, na wapiga mnada Alexander Historical Auctions, simu ya Kiongozi wa usoviet Adolf Hitler imeuzwa kwenye mnada huo kwa dola za kimarekani 243,000($243,000) sawa na Euro 195,744 (£195,744).
Mnunuzi wa saa hiyo ambaye aliwasilisha maombi ya kuinunua saa hiyo kwa njia ya simu taarifa zake bado hazijatolewa.
Simu hiyo yenye rangi nekundu inachukuliwa kama “silaha kubwa ya kimaangamizi” kwasababu ndiyo ilitumiwa na Hitler kutoa maagizo ya utekelezaji wa mauaji ya watu wengi.

Simu hiyo nyekundu, ambayo imechongwa jina la kiongozi huyo wa Nazi, ilipatikana katika handaki alimokuwa anajificha Hitler wakati mmoja mjini Berlin mwaka 1945.
Pia sanamu ya mbwa aina ya Alsatian aliyemilikiwa na Hilter iliuzwa kwa jumla ya $24,300 katika mnada huo na ilinunuliwa na mtu mwingine.

hilter dog

Sanamu hiyo ilinunuliwa na mtu tofauti na yule aliyenunua simu.

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.