Remy Ma Atangaza Ujio Wa Albamu Yake Mpya, Stori Kuhusu Maisha Yake Ya Jela

Rapa wa kike kutoka Marekani Remy Ma aliyeshinda tuzo ya “Best Female Hip-Hop Artist” 2017 ametangaza ujio wa album yake mpya iliyopewa jina Seven Winters & Six Summers.

Album hii itakuwa na stori kuhusu maisha yake alivyokuwa jela na beef na Nicki Minaj, Remy Ma alitoa album akiwa na Fat Joe iliitwa Plata o Plomo miezi michache baada tu ya kutoka Jela.

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.