Povu La Diamond Platnumz Kwa Watu Wanaomsema Harmonize Mitandaoni

Hrmonize amekuwa miongoni mwa watu wanaofuatiliwa zaidi kwa sasa baada ya kutengana na J Wolper, kuanzisha mahusiano na Mzungu ‘Sarah’ na kutoa rekodi yake mpya #Sina iliyong’arihwa na msanii mkongwe Mr Nice.

“Me telling @harmonize_tz “Fuck all the haters!” , we are famous, Powerful & Rich!…..@wcb_wasafi for life!!! please tag my all @wcb_wasafi family…..👇 📸 @kifesi“

“Usiogope Maneno maana Maneno Asili yake Uswazi, na Uswahilini ndipo Tulipozaliwa na kulelewa… Chamuhimu Tuendelee kupambana na tuzidi kuuwashika mkono wenzetu kutoka kwenye mtaa, ili Mabishoo, na Watoto wakishua wazidi kuchukia….! @wcb_wasafi For life!“

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.