PICHA:IRENE VIDEO QUEEN WA NYIMBO YA “KWETU” YA RAYVANY AZIDI KUNVUTIA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII

0

Mrembo wa video ya wimbo wa ‘Kwetu’ wa Rayvanny, Irene maarufu kwa jina la Lyyn kwenye mtandao wa Instagram anazidi kuwa mtamu kila kukicha.

Japo mrembo huyo ameonekana kuwa kimya kwa kipindi kirefu lakini kupitia picha alizoziweka kwenye mtandao huo Lyyn ameonekana kuzidi kunoga na kuwatoa udenda kwa kumfanya kila kidume rijali kumtamani. Tazama picha za mrembo huyo hapa chini.

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.