Picha Za Nick Minaj Akifanya Video Ya “Run Up” Ya Major Lazer

0

Baada tu ya kutoa wimbo aliofanya na Major Lazer wakiwa na PARTYNEXTDOOR “Run Up,” rapa Nicki Minaj amefanya video ya wimbo huu weekend hii. Hii itakuwa mara ya kwanza kumuona Minaj kwenye video ya muziki mwaka 2017 baada ya kuachana na Meek Mill mwaka 2016.

2017 utakuwa mwaka wa Nicki Minaj ambaye anajitayarisha kutoa album yake ya kwanza toka mwaka 2014 alipotoa The Pinkprint,

 

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.