Picha Ya Gari Ferrari Alilopewa Rick Ross Kwenye Birthday Yake Kutimiza Miaka 41 Na Kampuni Luc Belaire

0

Rapa Rick Ross amefikisha umri wa miaka 41 mmezi huu na kupewa gari mpya aina ya Ferrari kama zawadi ya siku yake ya kuzaliw na kampuni ya kinywaji cha Belaire.

Rozay ni balozi wa Luc Belaire Kinywaji kutoka Ufaransa.

Kupitia instagram yake Rozay aliweka picha hizi mbili za gari hio ikiwa nje ya nyumba yake mjini Atlanta, Georgia.

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.