Picha: Rihanna Na Mpenzi Wa Mpya Wakila Bata Ibiza

RnB staa Rihanna ameenda kwenye visiwa vya Ibiza kuendeleza bata lake na mpenzi wake mpya bwana Hassan Jameel.

Riri na Hassan Jameel, wamefika Ibiza wiki hii kwaajili ya weekend ya mahaba.

Taarifa za Rihanna kuwa na mpenzi mpya zilisamba sana wiki hii na iligundulika kuwa mwanaume huyu ni mfanya biashara maarufu wa magari ya Toyota huko Saudi Arabia, na familia yake inautajiri wa dola bilioni 1.5.

Jarida La #Forbes la Middle East linasema familia ya Jameel inashika namba 12 katika familia tajiri zaidi.

Kabla ya RihannaHassan alikuwa na mahusiano na mwanamitindo Naomi Campbell.

Rihanna na  Naomi Campbell

                                            Hassan wa Rihanna na  Naomi Campbell ‘Mwaka Jana’

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.