Picha: Rihanna Aacha Gumzo Na Gauni Lake..!!

Tumezoe kumuao mwanamuziki Rihanna katika mavazi kubwa kubwa na wakati mwingine tukadhani kuwa ni mama kijacho, kumbe si kweli bali ni aina yake ya uvaaji.

Kudhihirisha kuwa yeye ni mtu wa mitindo, wikendi iliyopita ameishangaza dunia katika uzinduzi wa filamu ya Valerian,uliyofanyika nchini Uingereza kwa kuvaa gauni kubwa na lenye kuonyesha mabega yake huku likiwa lenye rangi nyekundu ya kuvutia ,Ila sio tu ukubwa wa gauni bali hata muonekano wake na jinsi alivyopendeza ndio kulikoifanya ulimwengu wa mitindo kuongea.

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.