Picha: Big Sean Kaongelea Kupewa Cheni Ya Roc-A-Fella Na Jay Z…

Akiwa kama msanii wa lebo ya Roc Nation, rapa Big Sean ameongelea kupewa ile cheni ya Roc-A-Fella na boss wa Jay Z.

Big Sean anasema “Ilikuwa powa sana kama msanii wa lebo yake kupewa hii heshia, natembea naye, tunasikiliza mziki pamoja, pia yeye mwenyewe alifurahi kunipa cheni hio

Cheni ya Roc-A-Fella hupewa kwa wasanii waliokaribu na Jay Z na lebo zake na haswa wale ambao anawaona kama wasanii.

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.