Picha: Akothee AKusanya Kijiji Ndani Ya Las Vegas

Akothee alianza kwa mwendo wa kobe, lakini leo amekuwa mmoja wa wasanii wakubwa na maarufu Afrika Mashariki. Muimbaji huyo wa Kenya amekuwa mmoja wa mastaa wanaozungumziwa zaidi kwa sasa kwenye vyombo vya habari na haoneshi kupunguza mwendo.

Muimbaji huyo tajiri weekend iliyopita alitumbuiza jijini Las Vegas, Marekani na kuvutia umati mkubwa uliojazana kumshuhudia akitumbuiza vibao vyake mbalimbali.

Wakati huo huo, Akothee ataachia ngoma yake mpya iitwayo Tucheze iliyotayarishwa na producer wa Nigeria, Mastercraft.

Hizi ni picha zingine za show ya Las Vegas.

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.