Paul Pogba Azidua Collection Ya Mavazi Yake

0

Mchezaji wa klabu ya Manchester United ambaye ni mchezaji ghali kwasasa Duniani Paul Pogba ameachia collection ya mavazi yake ambayo ameshirikiana na Addidas.

Collection hiyo imekuja na vitu kama hoodie, tee-shirts, bomber jacket, snapback, pamoja na mabegi na nguo za mazoezi ambazo zimekuja kutokana na staili mpya ya nywele yake


Paul Pogba ameamua kuja na brand yake ya mavazi ambayo ameshirikiana na Addidas.

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.