Njia za Kumteka Mwanaume Akupende Zaidi

Habari ndugu wasomaji wa makala hii ya MAPENZI BORA iliyoandikwa na kuletwa kwenu na mtaafiti na mshauri wa mambo ya Ndoa, Mahusiano, na Mapenzi kwa ujumla Dk. Mswahili (King of relationship). Leo katika makala yetu hii nitazungumza na akina dada juu ya mbinu na mambo ambayo huwafanya wanaume kujisikia wako ulimwengu mwingine wakati wa tendo la ndoa. Kuna umuhimu mkubwa sana kwa mwanamke kujifunza mambo haya na kuyafanyia kazi ili kuweza kumdhibiti mpenzi wako.

Image result for wanaume wakiwa na wanawake

Imekuwa kawaida leo hii kwa wanaume walio wengi kuwa na nyumba ndogo, hii yote ni katika kutafuta mapenzi motomoto ambayo yatampagawisha. Akina dada mlio wengi leo hii mmejisahau sana kwa wapenzi wenu kiasi cha kwamba wanatoka nje ya mahusiano. Leo hii 75% ya watu nduniani ni wanawake na 25% tu ni wanaume kwa idadi hiyo wanawake ni mara tatu ya wanaume, niwengi sana hivyo kwenye kila wanawake 75, 25 tu ndio wanaoweza kuwa na wanaume wengine walio baki huwa hawana wanaume wao wa kudumu, hivyo hutumia kila mbinu kuweza kupata mwanaume ambae atamliwaza kama wanawake wengine. Hivyo yakupasa uwe na kila mbinu za kuweza kumfanya mpenzi wako akukumbuke kila mara na kutoweza kutoka nje ya mahusiano. Fuatili makala hii hadi mwisho, uielewe, uifanyie kazi halafu utaona matokeo yake.

Jinsi ya kumteka mumeo katika suala la ndoa na kumfanya asitoke njee ya mahusiano tutaangalia sehemu kuu tatu Kabla, Wakati na Baada ya tendo. Utajifunza taratibu na maeneo ambayo kitaalamu huwa yanamificho ya mihemko ya mwanaume na kumfanya mpenzi wako kujisikia raha wakati wote wa tendo.
Related image

SEHEMU YA KWANZA (Kabla ya Tendo)
Kabla ya tendo la ndoa kuna mambo mengi sana sana yakupasa kuyajua na kuweza kuyafanya wakati huo:

1.      Usafi wa mwili;  Kitu cha kwanza kukizingatia kabla ya yote lazima mwanamke uuweke mwili wako safi kabla ya tendo. Hii ikiwemo na kuoga mwili mzima, kusafisha sehemu zako za siri ikiwemo na mahala popote ambapo pamefichika kwani sehemu hizo wanaume walio wengi na wanaojua mapenzi hupenda kuzichezea sehemu hizo kwakua ndizo ambazo huhifadhi mihemko ya mwanamke. Baadhi ya wanawake hujisahau kujisafisha vizuri na kutoa jasho tu lililopo katika miili yao bila kusafisha sehemu nyenginezo ambazo hutumika katika masuala mazima ya tendo la ndoa huvyo kutokana na harufu za baadhi ya sehemu humpunguzia mwanaume hamu ya kitendo. Hakikisha masikio na kitonvu chako vipo safi. Pia hakikisha sehemu ya magoti yako kwa nyuma zipo safi

2.      Usafi wa chumba/mahali pakufanyia tendo; hakikisha unasafisha chumba au mahali ambapo umepaanda kwa ajili ya kuja kumliwaza mwenzi wako kabla hajafika eneo la tukio. Hii ikiwemo na kutandika kitanda vizuri sana kwa rangi za upendo (nyekundu) kama hauna basi jitahidi kpata rangi yeyote ambayo ni nzuri Ila usiweke shuka jeusi kwani rangi nyeusi ni rangi ya uzuni, pia kuweka manukato mazuri sana ikiwemo maua, kama ni wakati wa usiku ni vizuri kuandaa mishumaa au taa ya rangi

Related image

3.      Vaa nguo fupi (short skirt);  vaa nguo fupi (nusu uchi), hii humfanya mwanaume kupata mihemko pindi anapokuona, pia humuandaa kisaikolojia na kuufanya mwili wake kuwa tayari pindi utakapohitajika. Baadhi ya wanawake hupenda kuvaa nguo fupi watokapo na kuwaonesha watu wengine sehemu zao muhimu lakini hawafanyi hivyo kwa wapenzi wao pindi wawapo ndani hii sio tabia nzuri jamani, muonesho mumeo kwamba hakubahatisha kukuchangua wewe. Hakikisha nguo zako za ndani (chupi na sidiria) ziko safi na zenye mvuto.

Related image

4.      Usimuudhi mpenzi wako; hakikisha kwamba husababishi maudhi ya aina yeyote kwa mpenzi wako, ikiwemo lugha chafu, kumzungumzia na kumsifia mwanaume mwengine, mpambe mpenzi wako kwa majina mazuri (Baby, honey, my sweet, na mengineyo kama hayo) kabla ya tendo. Baadhi ya wanawake huwaita waume zao majina mazuri wakati wanapopewa zawadi tu au wakati wanapofikishwa kileleni hii sio sawa kabisa, sababu huu utakuwa ni unafiki mwanaume aweze kukufikisha kileleni anaitaji maandalizi bibi eeh, muandae kwa majina mazuri ili ajisikie furaha mwili upate kutulia kwani wengine huwa wameudhiwa huko walipotoka sasa unatakiwa kumtoa alipo na kusahau kabisa. kwani kitaalamu mwili unapotulia (relax) huondosha msongo wa mawazo hivyo utakuwa umeufanya ubongo wake uweze kukuwaza wewe wakati wote. itaendelea usikose kutembelea tovuti hii kila siku

Karibu tena katika mtandao huu

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.