MWANZA:UWIZI WA KUKU WAMPONZA ACHOMWA HADI KUFA

0

Raia pichani ni Kijana maarufu kwa jina la “Mkono Mmoja, Ameuwawa Na wananchi wenye hasira kali ambaye kifo chake kimesababiswa na kuiba kuku tu wa watu. Tukio hilo limetokea leo tarehe 27.1.2017 asubuhi huko Mkoani MWANZA wilaya ya UKEREWE kijiji cha BUSAGAMI

 

#jicholauswazi

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.