Msanii Brown Mauzo Amtongoza Sanaipei Tande Live Redioni

0

Msanii Brown Mauzo kutoka hapa Kenya ambaye kwa hivi sasa anatamba na kibao ‘Apotee’, juzi siku ya Ijumaa aliufungua moyo wake kwa msanii mrembo legendary katika mUziki wa kisasa Sanaipei aka Sanaa.

Sanaa na Brown walikutana katika kipindi cha Mambo Mseto cha redio Citizen kinachoongozwa na mtangazaji Mzazi Willy M Tuva. Katika kitengo cha ‘Msanii kwa Msanii’, ambapo Tuva huwapa fursa wasanii wawili kuhojiana live kwenye studio.

Katika mahojiano haya ambayo nayanukuu anasikika mtangazaji Tuva akiwakaribisha wasanii hao rasmi kwenye kitengo hicho kabla ya kumuachia Sanaa kuondoka studioni na kumkaribisha Brown kwenye interview.

Tuva: OK Msanii kwa Msanii, next ni Brown Mauzo njoo ukae hapa tafadhali, kabla haujaondoka labda tu najua ulikuWa mtangazaji na pia wewe ni msanii usipanic/umepanic

Sanaa: aaaah aaaah Jamani!

Mzazi Tuva: Kaa hapa

Sanaa: Yu aniogapa, karibu, siumii

Brown: Siogopi…

Tuva: Hiki ni kile kipengele cha Msanii kwa Msanii, swali moja kutoka kwa Brown kwa Sanaa na moja kutoka kwa Sanaa kwa Brown, swali moja tu

Sanaa: Are you serious?

Tuva: Yes I am, so lets start with you Brown

Brown: Kwanza kabisa Mzazi nimependa sauti ya Sanaipei sana

Tuva: Umempenda Sauti ama umempenda mwenyewe?

Sanaa: Aaah aaah mbona?

Tuva: Na yuko single.

Sanaa: Aaah aah acha mwanaume, huoni mwenyewe alivyovyaa?

Brown: Basi hiyo shwari kabisa ndiyo zaidi….(kicheko) ndio kabisa

Sanaa: Nashukuru sana

Brown: Umbo lake na sauti yake sawas awa

Tuva: Uuuih

Sanaa: Jamani, mbona hamjani-prepare eeh maneno matamu kweli sasa nakaa tu hapa

Tuva: Kuna mmoja ame-blash hapa na sijui ni nani…(Kicheko)

Sanaa: Haya

Tuva: Swali la kwanza kutoka kwa Sanaa

Sanaa: Aaah swali la kwanza….”

Pata uhondo zaidi kupitia kipande hiki cha video hapa chini.


Makala ya: Changez Ndzai (Kenya)
Facebook: Changez Ndzai.

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.