Mbowe apigania usalama wa dereva wa Tunde lissu…..

0

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amedai dereva wa Tundu Lissu anaweza kuuawa akirejea nchini kwakuwa bado hakuna uhakika juu ya usalama wake.
.
Akaongeza kuwa dereva huyo bado anaendelea kupatiwa matibabu ya kisaikolojia kwa sababu aliona tukio la kutisha.
.
Mbowe: Wanaweza wakamtoa roho yake, ndio maana tukaona ni lazima tumlinde kama tunavyomlinda Mhe. Lissu kule hospitali(Nairobi, Kenya) wanalindwa na maaskari wenye bunduki.
Load more comments
patiencemturiKama jambo halijakufika Unaweza kuchangia nonsense nyingi.. Mungu tusaidie sana,tuhurumie,tupe njia,tuweke ktk mwenendo ulio Sawa… Mungu atusaidie sana. Haya yote yapate ufumbuzi
double_y_compWacha muvi iendelee, polisi pumzikeni msubilini akipona atakuja
chrispine_chorohaDuuh si ndio nyie mnadai vyombo vya usalama havilifanyii kaz swala hilo then mnaficha ushahidi!? So mtuambie ni Lin mtakua na uhakika na usalama wake au aletwe kwa usalama gan? Kwa kuziwia ushahidi mnataka kutujengea picha kua mnaweza kua washukiwa pia Wa hilo tukio. ..ilikupata credit za kisiasa?

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.