Maneno Aliyoyasema Lissu Baada Ya Kuzinduka…!!

Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa (CHADEMA) Tundu Lissu ambaye anapatiwa matibabu nchini Kenya kufuatia kujeruhiwa kwa risasi na watu wasiojulikana siku Septemba 9, 2017 amezinduka na kutoa neno kwa Mwenyekiti wa CHADEMA.

Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa (CHADEMA) Tundu Lissu

Katika ujumbe ambao umewekwa na Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa unasema kuwa kiongozi huyo alipopata fahamu aliweza kutoa maneno machache akimtaka Mwenyekiti kuendeleza mapambano.

Tundu Lissu kwa sasa amelazwa nchini Kenya akipatiwa matibabu jijini Nairobi kufuatia kupigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa Makao Makuu ya nchi mjini Dodoma siku ya Alhamis saa saba na nusu mchana

Chanzo: Eatv

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.