MAMBO HAYA NDIYO YANAWAFANYA WATU WAACHE KUFATILIA MAPENZI YENU

MAHUSIANO Sio mbaya kwa marafiki wa karibu au ndugu na jamaa kufahamu kushirikiana nanyi katika mapenzi yenu kama vile wakati wa sherehe au msiba. Pia sio mbaya kujuliana hali na kutambulisha mambo ya msingi yanayoendelea katika mahusiano yako wewe na mpenzi wako. Hata hivyo kuna wakati watu wengine wa pembeni, wawe majirani, ndugu, wazazi au marafiki wanaweza kuwa ‘sumu’ ya mahusiano yako, hasa pale unapowategemea sana kutoa msaada, maoni au maelekezo katika maisha yako ya mapenzi.  Makala…

Soma Zaidi Bonyeza Hapa

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.