Malaika Azitolea Maana Tattoo Alizojichora Mwilini Mwake…!!

Msanii wa Bongo Flava, Malaika ameleeza sababu kuchora tattoo katika mwili wake na maana zake.

Muimbaji huyo ambaye ana tattoo mbili ambazo zipo katika mkono na mguu amesema pindi anapovutia na ua la aina yoyote hupenda kuchora.

“Kuhusu tattoo I don’t know nimejikuta tu nimependa tu tattoo, hazinaga maana yoyote ninapoona kuna au nimelipenda nachora.” Malaika ameiambia Bongo5.

“Tattoo yangu ya mguu naipendaga kwa sababu nikiwa naingalia nahisi kama ni manyoya yanapita nakuishi huko juu na mambo mengine yanaendelea,” ameongeza.

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.