Juventus Yakamilisha Usajili Wa Beki Kisiki ‘Mattia De Sciglio’ Kutoka Ac Milan

Klabu ya soka ya Juventus ya Italia imemsaini beki Mattia De Sciglio kutoka AC Milan.

De Sciglio amesainiwa na timu hiyo kwa mkataba wa miaka mitano. Beki huyo mwenye miaka 24 alianza kuichezea Milan mwaka 2011 baada ya kupandishwa kutoka kwenye timu ya vijana aliyojiunga nayo tangu mwaka 2002.

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.