IDRISA SULTANI AAAMUA KUANIKA KILA KITU JINSI WEMA SEPETU ALIVYOMKAUSHA MILIONI 500 ZAKE ZA USHINDI WA BIG BROTHER..!!

0

Mshindi wa Shindano la Big Brother Africa Idris Sultan ameamua kukiri wazi kuwa kipindi yupo kwenye mahusiano na Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu alikumbwa na ukata.
Kupitia kipindi cha Clouds e cha Clouds Tv Idris Sultan amesema wakati yupo kwenye mahusiano yake yaliyopita na mrembo Wema Sepetu alikuwa kwenye Ukata hivyo nilijikuta sifanyi vitu vya maana kuliko
kipindi hiki ambapo yupo Single.
“ Wakati nipo kwenye mahusiano yangu yaliyopita niliyumba kidogo kiuchumi kwani sikuwa nafanya mambo mengi ya muhimu kuliko sasa hivi kwani hata watu wangu wa karibu watakueleza hivyo,nafurahi niko
single na naendelea kupambana“Alisema Idris.
Ikumbukwe idris alishinda tsh milioni 500 za kitanzania kwenye shindano la big brother Africa. Idris sasahivi ni mtangazaji wa choice FM
Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.