Huu Ndo Ukweli Wa Penzi La Barakah The Prince Na Naj (Audio)

Barakah Da Prince alikaa kitako na Mtangazaji wa ABM Radio ya Dodoma, DJ Rodger kuzungumzia status ya uhusiano wake na Naj.

Kwenye interview hiyo Barakah amedai kuwa bado mapenzi yao yapo moto moto ila wameamua kutopenda sana kupostiana kwenye mitandao ya kijamii kama zamani.

Ameongeza kuwa ukurasa wake wa Instagram sasa utaendelea kujikita katika kazi zake zaidi na sio mambo ya uhusiano. Msikilize zaidi hapo juu.

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.