Heka Heka Ya Aliyechoma Visu Ovyo Watu Wa Mabibo – Dar es salaam

0

Leo January 24 2017 kwenye Leo Tena ya Clouds FM, Mtangazaji Geah Habib ametuletea hekaheka ya jamaa ambaye juzi usiku aliibuka na kila alipokuwa akikutana na mtu alikuwa akimchoma kisu na kusababisha vifo vya watu wawili.

Jamaa huyo anadaiwa kuwajeruhi pia watu akiwemo mtoto mdogo aliyekutana naye na kumchoma kisu maeneo ya mabibo Dar es salaam.

Kupata Full Stori Bonyeza play hapa chini

 

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.