Hawa Ni Baadhi Ya Malegend Wa Manchester United Walio Staafu bila Kutwaa Kombe La Dunia

Hii ilikuwa Mwaka 1991 Wastaafu Ryan Giggs,Nick Butt, David Beckham,Garry Neville, Phill Neville, Na Paul Scholes Walipandishwa Timu Ya Reserve Kutoka Timu Ya Watoto Ya Manchester United…
.
Wote Hawa Hawakuwahi Kufanikiwa Kubeba World Cup Wala Euro..
.
Kama Hiyo Haitoshi Ryan Giggs Hakuwahi Kabisa Kushiriki Mashindano Hayo Niliyoyataja Hapo…

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.