Gari aina ya Noah yakamatwa jijini dar ikiwa imebeba wanafunzi 34 na walimu 35

0

Hiyo NOAH imekamatwa ikiwa imebeba watoto 34 pamoja na mwalimu 35. Wanafunzi hao ni wa darasa la kwanza na lapili kutoka shule ya DIAMOND, OLIMPIO, KISUTU, MAKTABA, BUNGE. Gari hiyo imekamatiwa eneo la round about gerezani wakielekea Kigamboni. Dereva na wahusika wa gari hiyo wanashikiliwa kwa mahojiano zaidi.

SOURCE: @issamichuzi

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.