DROO YA MTOANO 16 BORA UEFA EUROPA LEAGUE YATOKA

0

Droo ya mtoano baina ya timu 16 bora ligi ya Europa msimu wa 2016/2017 imefanywa leo katika makao makuu ya UEFA mjini Nyon, Uswisi.

 

Vilabu vilivyotoa upinzani vya Totenham, Zenit St.Petersburg, Athletic Bilbao na Fernebache ni baadhi ya timu kubwa ambazo zilitupwa nje ya michuano hyo kwenye mzunguko wa mwisho wiki hii.
HATUA HIYO YA MTOANO INAZIKUTANISHA TIMU KAMA IFUATAVYO:

Celta Vigo – Krasnodar
Apoel – Anderlecht
Shalke – Borussia Monchenglabach
Lyon – AS Roma
Rostov – Man Utd
Olympiacos – Beskitas
Gent – Genk
Copenhagen – Ajax

Michezo ya kwanza ya hatua hiyo itachezwa alhamisi 9 mwezi machi, ikifuatiwa na michezo ya marudiano, wiki moja baadaye 16 machi.

Droo ya robo fainali itachezeshwa tarehe 17 Machi.

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.