CNN: DIAMOND KAIPELEKA BONGO FLAVA ULIMWENGUNI

0

Mkali kutoka bongo land anaendelea na headline zake kama kawa, leo hii Diamond anatajwa na kituo kikubwa cha CNN kwamba ni msanii anayeipeleka  game ya bongo flave kimataifa zaidi.

Kauli ya CNN inakuja baada ya ngoma ya marry you aliyompa shavu mkali kutoka USA Neyo kufanyiwa world marketing strategies kama kuitupia kwenye platform kubwa za dunia za kuuzia nyimbo kama spotfy,amazon lakini pia jamaa anapatikana Vevo

Soma hii post hapa chini

Thank you @CNNAfrica 🙏…. #MALENGO click the link in my BIO to watch my New Hit #MarryYou ft @NeYo #MarryYouDN

A photo posted by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.