Chidinma Amtaja Alikiba Kama Msanii Anayetaka Kufanya Nae Collabo Afrika Mashariki

Mwimbaji maarufu kutoka Nigeria Chidinma amemtaja bongo fleva super staa Ali Kiba kama msanii anayetaka kufanya naye kazi Afrika Mashariki.

Chidinma amesema haya kwenye kipindi cha maswali na majibu na mtandao wa muziki wa Mdundo kupitia  #MdundoTwitterview ya Mdundo music. 

Chidinma aliulizwa msanii gani anataka kufanya naye kazi East Africa na West Africa, East amemchagua Ali Kiba na West amemchagua Sarkodie.

Chidinma tayari amefanya kazi na mtanzania Joh Makini kwenye rekodi ya Perfect Combo. 

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.