BREAKING NEWS:Unguja,mtoto aokotwa akiwa amekufa maji soma zaidi

0

Kutoka kwa vyanzo vyetu vya habari mjini unguja imeripotiwa

soma habari ya mwana habari wetu

AS-ALAYKUM. WAUNGWANA HAPA KWETU MTONI BRANCH UNGUJA HAPA ZINAPOKAA MELI ZA LANDCRAFT KWAAJILI YA MATENGENEZO TUMEOKOTA MAITI MUDA HUU YA MTOTO WA KIUME MWENYE UMRI KATI YA MIAKA TISA AU KUMI KWA KUKISIA. KAMA KUNA MTU KAPOTELEWA NA MTOTO WAKE AU WAJIRANI AMTAMBUE KWA HIZO NGUO ALIZO VAA. UKIPATA SMS HIIISAMBAZE . NA TUMESHATOA TAARIFA KWA SHEHA ILA TARATIBU ZA KISHERIA ZIFATWE KUHIFADHI MWILI WA MAREHEMU. ALLAH AMLAZE MAHALA PEMA PEPONI.
BY CAPT TIGO

TUANDIKIE MAONI HAPA CHINI MATUSI HAYARUHUSIWI

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.