black Chyna Na Rob Kardashian Wafika Hapa

Baada ya kuachana rasmi mwezi March mwaka huu, Blac Chyna na Rob Kardashian wafikia kutafuta Custody ya mtoto wao (Uamuzi wa Mahakama kwa jinsi ya kumlea mtoto)

Kwa taarifa zilizotoka jana kupitia mtandao wa TMZ, imeripotiwa kuwa Maamuzi yanaenda vizuri lakini kuna baadhi ya vikwazo vimejitokeza.

Huenda Mwanamama Blac Chyna akanyimwa Full Custody ya kumlea mtoto wake ‘Dream’, ni kutokana na Idara ya watoto na huduma za familia (DCFS) kumchunguza dhidi ya tuhuma za utumiaji wa dawa za kulevya na pombe.

Familia ya #Rob ‘The Kardashians’ imesema ipo tayari kumpokea na kumlea mtoto wao.

Imeripotiwa pia kuwa ndani ya maelezo, #Chyna anataka pesa nyingi za huduma ya mtoto (Child Support), lakini kitendawili kimebaki kuwa ni yupi atapewa haki ya uangalizi wa muda wote? Tusubiri.

#InfoHDNEWS

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.