BARNABA NA MAMA MTOTO WAKE PEACE TUU

0

Msanii anaefanya vizuri katika mziki wa bongo Barnaba amekanusha kuwepo kutokuelewana baina yake na mama watoto wake.
Akihojiwa na The Weekend Chat Show barnaba alisema;

‘Mimi na wife wangu hatuna matatizo, maneno hayo yanayoendelea huko nje achana nayo. Mimi sijawahi kugombana na mama watoto wangu wala mama watoto hajawahi kuondoka nyumbani na the Good Thing is mimi na familia yangu tupo karibu, na Steven anaenda shule kama kawaida’’
Alisema Barnaba.

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.