Apoteza Fahamu Baada Ya Kudaiwa Hela Ya Bangi

Mwanamke mmoja nchini China amepoteza fahamu katika duka la kuuza vito vya thamani baada ya kuvunja bangili yenye thamani ya dola 44,000.

Mwanamke huyo ambaye alivunja bangili hiyo kimakosa, alikwa akitalii katika maeneo ya Yunnam karibu na mpaka na Myanmar, Bangili hiyo ilivunjwa kimakosa baada ya kuivua na kuidondosha kwa hofu ya bei aliyotajiwa, hata hivyo wateja waliokuwepo hapo walimsaidia na kuzinduka.

Licha ya kupunguziwa gharama ya bangili hiyo na wafanyakazi wa duka hilo kumtaka kulipa kiasi cha dola 25,000 ili kutatua suala hilo lakini akasema alikuwa na dola 1,500 tu. Hata baada ya polisi kufika walisnindwa kutatua mzozo huo.

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.