Amber Lulu Apagawishwa Na Penzi La Prezzo…!!

MWANA-MUZIKI na muuza sura kwenye video mbalimbali za wanamuziki wa Bongo Fleva, Lulu Eugen ‘Amber Lulu’ amelewa na sifa anazomwagiwa na ‘mpenzi’ wake mpya, Prezoo.

Amber Lulu alisema ana furaha ya ajabu kutokana na video aliyoiachia Prezoo akimsifia kwamba anampenda, ni mzuri na ana roho nzuri, achilia mbali kuwa ameshamt-ambulisha kwa mama yake.

“Najisikia vizuri sana kusifiwa na Prezoo maana mtu ukikubalika lazima ufurahi kwa kweli, ni mtu wangu wa karibu na tuna mpango wa kufanya kazi pamoja pia, kuhusu uchumba na kutambulishwa kwa mama yake hilo kwa sasa ni siri kidogo ila siku ikifika tutaweka wazi kila kitu,” alisema Amber Lulu.

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.