Albamu Ya Jay Z Yatua Sokoni

Albamu ya rapper Jay Z imeanza kupatikana leo ikiwa zimepita siku kadhaa tangu alipoutambulisha ulimwengu kuhusu ujio wa album yake hiyo ya 13 iitwayo, 4:44.

Inadaiwa kuwa kati ya ngoma 10 ambazo zinapatikana katika albamu hiyo zimetayarishwa na producer No I.D.

Albamu hiyo imewakutanisha wasanii kama Beyoncé, Frank Ocean, Damian Marley, Kim Burrell, The-Dream na inanyimbo kama vile ‘Bam’, ‘4:44’, ‘Marcy Me’, ‘Smile’, ‘Legacy’ na nyingine.

Kwa sasa albamu hiyo imeanza kuipatikana kwenye mtandao wa Tidal.

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.