AKAMATWA NA MIFUPA YA MWANADAMU, ADAI ANA MAHABA MAKUBWA NA MAITI

0
Mama mmoja mwenye umri wa miaka 37 ameshitakiwa nchini Sweden kwa kufanya mapenzi na mifupa ya maiti.
Mama huyo pia alipatikana na makala aliyoaandika akifurahia kuwa mtu wa kwanza kufanya mapenzi na mifupa ya mtu aliyefariki dunia zaidi ya miaka 50 iliyopita.Mkuu wa mashitaka Bi Kristina Ehrenborg-Staffas ameliambia shirika la habari la Reuters kuwa bibi huyo anakabiliwa na mashitaka ya kuvuruga amani ya marehemu.

Lakini mama huyo amejitetea akisema haoni kama amefanya kosa kwani anafurahi kufanya mapenzi na maiti.
Wakati alipokamatwa alipatokana akiwa na mifupa ya binadamu,mafuvu, na viungo vyengine.
Pia aliptikana na picha za vyumba vya maiti na makaburi.
Bibi huyo anasema ana mahaba makubwa na maiti

 

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.