Download New Music : The Kakaz – ABC

TheKakaz Ni Miongoni Mwa Kundi Linalofanya Vizuri Katika Muziki Wa Kizazi Kipya (Bongo Fleva) , Baada Ya Kukaa Kimya Kwa Kipindi Kifupi Sasa Wamekuja Na Wimbo Wao Mpya “ABC” Uliofanyika Chini Ya Produzya GIZZLE Katika Studio Za Flexible Music

Download Hapa Chini

 

Facebook Comments

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.